Wajue wadukuzi wenye nguvu zaidi waliotikisa Dunia kupitia intaneti

Kama kwenye Maisha yako hujawahikuwashuhudia wahalifu maarufu ambao  ni wadukuzi waliowahi kuitikisa Dunia kupitia mtandao wa intaneti na kupelekea kutambulika



Wahalifu hao waliweza kufanya wizi wa pesa,wengine kudukuamifumo yataasisi au shirika Fulani lengo ni kujionyesha kwanini wamefanya hivyo.

Kama unalengo la kuwa hacker wafahamu wadukuzi wenye nguvu Zaidi duniani kupitia intaneti.

 

KELVIN MITNICK


Huyu jamaa aliweza kudukua mfumo mzima wa Nokia,Motorola na FBI sio kwa ajili ya pesa hapana bali alifanya hivyo kuonyesha kuwa yeye anauwezo mkubwa na anaweza kufanya chochote kile

 

ADRIANO RAMO


Anajulikana kama muhalifu asiye na makazi”homeless hacker” baada ya kudukua mifumo ya Microsoft na yahoo kwa kukaa tu kwa Rafiki yake kwenye kiti na migahawani.

 

JONATHAN JAMES


Huyu jamaa alikamatwa na marekani baada ya kufanya udukuzi wa data mbalimbali za NASA na kusababisha mabilioni ya pesa kupotea ndo alikua muhalifu mwenye umri mdogo zaidi.

 

LIZARD SQUAD


Ilikua siku ya krismasi mwaka 2014 waliweza kuvuruga mifumo yote ya  playstation na xbox na kupelekea  kusababisha mamilioni ya watukushindwa kucheza Game ulimwenguni kote.

 

ALBERT GONZALEZ


Huyu jamaa aliweza kupiga sana pesa kupitia  kampuni ya TJX kwakufanya largest data breaches(wizi mkubwa wa data kwa kuiba Zaidi milioni170 credit kadi za  watu mbalimbali na kutoa pesa

 

GARY MCKNINNON


Zaidi ya Data milioni 97 Toka NASA na idara ya ulinzi wa Marekani zilipotea na kudukuliwa wakati wa taarifa za siri kuhusu viumbe aina ya Alien na Area 51ambao huu ulikua udukuzi mkubwa Zaidi wa kijeshina masuala ya usalama.

Je wewe umewahi kusikia na kuona wasuala mbalimbali ya udukuzi kama ndio tushirikishe kwenye uwanja wa komenti?

KWA  MAKALA ZAIDI YA TEKNOLOJIA USISAHAU KUTUFUATILIA CHESCO TECH               

Previous Post Next Post

Ad 2